AUSTRALIA HAITAWARUHUSU ROHINGWA KUISHI

AUSTRALIA HAITAWARUHUSU ROHINGWA KUISHI

Like
318
0
Thursday, 21 May 2015
Global News

AUSTRALIA imeonya kuwa haitawaruhusu wakimbizi wa jamii ya waislamu wa Rohingya waliowasili nchini humo kwa mashua kuishi.

Waziri mkuu, wa nchi hiyo Tony Abbott, anasema kuwa ni muhimu mataifa ya magharibi kutafuta mbinu ya kuzuia ulanguzi wa watu.

Anasema, njia pekee ni kuhakikisha kuwa hakuna mashua ambayo inawabeba wahamiaji hadi katika taifa lolote la magharibi.

 

Comments are closed.