AZAM YAKANUSHA KUMTEMA JOHN BOCCO ‘ADEBAYOR’

AZAM YAKANUSHA KUMTEMA JOHN BOCCO ‘ADEBAYOR’

Like
293
0
Tuesday, 19 July 2016
Slider

Mtendaji mkuu wa Azam Fc, SADI KAWEMBA kupitia Sports Headquarters amekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kwamba mshambuliaji John Bocco ‘Adebayor’ ametemwa kikosini na kocha Mkuu wa klabu hiyo Mhispania, Zeben Hernandez

Comments are closed.