BAADHI YA MATUKIO KATIKA KAMPENI YA MUZIKI MNENE UKONGA

BAADHI YA MATUKIO KATIKA KAMPENI YA MUZIKI MNENE UKONGA

Like
461
0
Wednesday, 08 October 2014
Entertanment

 

Efm imekuwa ikiendesha kampeni yake iliyopewa jina la muziki mnene katika jiji la Daresalaam na maeneo ya jirani

kampeni hiyo imekuwa ikiwakutanisha wafanyakazi wa redio hii pamoja na wadau yani wasikilizaji toka kuanzishwa kwake ambapo imeshapitia maeneo tofauti ikiwemo Ukonga magereza yenyewe

kampeni ya muziki mnene wiki hii inaendelea na itafanyika Navy beach Kigamboni

DU7C0627

rdj Black kusho, rdj Timber katikati na rdj Skit mwishoni

DU7C0659

Comments are closed.