BAADHI YA WAGOMBEA WALIOTANGAZA NIA YA KUWANIA UBUNGE ARUSHA WAPIGANA VIKUMBO

BAADHI YA WAGOMBEA WALIOTANGAZA NIA YA KUWANIA UBUNGE ARUSHA WAPIGANA VIKUMBO

Like
384
0
Tuesday, 19 May 2015
Local News

BAADHI ya Wagombea waliotangaza nia kuwania Ubunge katika majimbo mbalimbali mkoani Arusha  kupitia CCM,walionekana kupigana vikumbo na wengine wakijinadi mbele ya Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli EDWARD LOWASSA.

LOWASSA,ambaye anatajwa kuwania Urais kupitia CCM mwaka huu aliendesha harambee ya Ujenzi wa Msikiti wa Patandi uliopo Wilayani Arumeru mkoani Arusha,akimwakilisha makanu wa Rais,Dokta MOHAMMED BILLAL na kufanikiwa kukusanya zaidi ya Shilingi Milioni 200 ikiwa ni zaidi ya makisio ya Msikiti huo.

Baadhi ya Watia Nia wa CCM wameonekana wakichangia fedha katika harambee hiyo huku wengine wakitumia mwanya wa kunadi Sera walipokaribishwa Jukwaa Kuu.

Comments are closed.