BABA BORA KUHAMASISHA WANAUME KUTIMIZA WAJIBU WAO

BABA BORA KUHAMASISHA WANAUME KUTIMIZA WAJIBU WAO

Like
346
0
Friday, 21 November 2014
Local News

CRS

WANAUME wametajwa kuwa   na ushiriki mdogo katika suala zima la malezi ya Watoto hali inayosababisha washindwe kupata malezi yao.

Hayo yameelezwa na Mratibu wa SAVE THE CHILDREN Zanzibar RAMADHAN RASHID wakati wa Uzinduzi wa   Kampeni ya BABA BORA ambayo inahamasisha Wanaume kushiriki Malezi ya Watoto na sio jukumu hilo kuachiwa Wanawake Pekee.

Kampeni hiyo imezinduliwa na Shirika la Save The Children kwa kushirikiana na Umoja wa Nchi za Ulaya-EU.

Comments are closed.