BABA MZAZI WA BOBI WINE AFARIKI DUNIA

BABA MZAZI WA BOBI WINE AFARIKI DUNIA

Like
815
0
Tuesday, 10 February 2015
Entertanment

Baba mzazi wa Bobi Wine amefariki dunia

Taarifa za awali kutoka nchini Uganda zinaeleza kuwa baba mzazi wa msanii Bob Wine mzee Mzee J.W Ssentamu amefariki dunia leo baada ya kuugua kisukari kwa muda mrefu.

Watu mbalimbali wameanza kutoa salamu za rambirambi kwa familia hiyo kufuatia kifo hicho kilichotokea kwenye hospitali ya Mulago huko Uganda.

Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi

sentamu Bobi-dad

Comments are closed.