BABATI: HAMASHAURI YAKABIDHI HUNDI YA SHILINGI MILIONI 39 KWA VIJANA NA VIKUNDI 5 VYA WANAWAKE

BABATI: HAMASHAURI YAKABIDHI HUNDI YA SHILINGI MILIONI 39 KWA VIJANA NA VIKUNDI 5 VYA WANAWAKE

Like
260
0
Tuesday, 10 March 2015
Local News

HALMASHAURI ya WIlaya ya Babati Mkoani Manyara,imekabidhi hundi ya Shilingi Milioni 39 kwa kikundi cha Kuweka na Kukopa cha Vijana SACCOSS na vikundi vitano vya Wanawake 150.

Akikabidhi hundi hizo Katika Kijiji cha Ayasanda,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo NICODEMUS TARIMO,amesema fedha hizo zinatokana na Asilimia 10 ya Mapato ya Halmashauri kwa ajili kuwawezesha Vijana na Wanawake.

Comments are closed.