BAD NEWS: Gari la Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla limepata ajali

BAD NEWS: Gari la Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla limepata ajali

Like
805
0
Saturday, 04 August 2018
Local News

BAD NEWS: Gari la Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla limepata ajali Magugu, Manyara na Ofisa wa habari, Hamza Temba amefariki dunia. RPC, Augustino Senga Manyara amethibitisha.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *