BAKITA YATHIBITISHA KUKUA KWA LUGHA YA KISWAHILI

BAKITA YATHIBITISHA KUKUA KWA LUGHA YA KISWAHILI

Like
464
0
Thursday, 13 August 2015
Local News

BARAZA la Kiswahili la Taifa- BAKITA limethibitisha kukua kwa kasi kwa  lugha ya kiswhili katika nchi za Afrika Mashariki na duniani kutokana na lugha hiyo kutumika katika mikutano mbalimbali ya kimataifa.

Msanifu Mkuu wa lugha ya Kiswahili CONSOLATA MUSHI amesema kwa sasa vipo vyuo vikuu mbalimbali Duniani na Taasisi zinazoeneza lugha hiyo kwa kufundisha katika vyuo mbalimbali.

Comments are closed.