BALOZI WA MAREKANI KOREA KUSINI ASHAMBULIWA KWA KISU

BALOZI WA MAREKANI KOREA KUSINI ASHAMBULIWA KWA KISU

Like
237
0
Thursday, 05 March 2015
Global News

BALOZI wa Marekani nchini Korea Kusini ameshambuliwa kwa kisu usoni na pia katika kifundo cha mkono wake na mshambuliaji aliyekuwa akipiga kelele kuhusiana na suala la kugawanywa kwa kipande cha ardhi ya jumuiya yao.

Mara tu baada ya shambulio hilo Rais wa Marekani Barack Obama amemtakia uponaji wa haraka msaidizi wake wa zamani Mark Lippert akimuombea uponaji wa haraka baada tu ya shambulio lililofanywa wakati wa hotuba ya asubuhi.

Balozi huyo mwenye umri wa miaka 42 alikimbizwa hospitalini ambako alifanyiwa upasuaji wa zaidi ya saa mbili, Jeraha lake limekadiriwa kuwa na sentimeta kumi na moja upande wa kushoto na ameshonwa nyuzi themanini kwenye mkono uliokatwa shambulio lililosababisha baadhi ya mishipa kushindwa kufanya kazi.

2653DC8500000578-2980097-image-a-43_1425519079040

Mtuhumiwa kwenye tukio hilo

 

 

 

 

 

 

 

 

26553CCC00000578-2980097-image-a-8_1425550377611

polisi wamkimtoa mtuhumiwa eneo la tukio2653CD6400000578-2980097-image-a-23_1425512779081 2654375C00000578-2980097-image-a-40_1425518926769

 

 

 

Comments are closed.