BALOZI WA UINGEREZA AAHIDI KUISAIDIA WILAYA YA KINONDONI KUTATUA KERO MBALIMBALI

BALOZI WA UINGEREZA AAHIDI KUISAIDIA WILAYA YA KINONDONI KUTATUA KERO MBALIMBALI

Like
264
0
Friday, 08 January 2016
Local News

BALOZI wa Uingereza nchini ameahidi kuisaidia Halmashauri ya kinondoni katika kutatua kero ikiwemo kero ya mafuriko pamoja na kuboresha sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu ,sekta ya afya  na michezo.

Hayo yamebainishwa jijini Dar es alaamu na mkuu wa wilaya ya kinondoni  PAUL MAKONDA mara baada ya kumaliza  mazungumzo na balozi huyo,  DIANA MELYROSE  ambapo amesema kutokana na  kuwepo na changamoto mbalimbali katika manispaa ya kinondoni manispaa hiyo imekuwa na mazungumzo na baadhi ya wadau wa halmashauri ya kinondoni wakiwemo mabalozi ili kutafuta namna ya kuweza kutatua changamoto hizo .

Comments are closed.