BAN KI MOON AKOSOA JUHUDI ZA BARA LA ULAYA JUU YA MZOZO WA WAHAMIAJI

BAN KI MOON AKOSOA JUHUDI ZA BARA LA ULAYA JUU YA MZOZO WA WAHAMIAJI

Like
178
0
Wednesday, 09 September 2015
Global News

KATIBU MKUU  wa  Umoja  wa  Mataifa  Ban Ki-moon amekosoa jinsi  bara  la  Ulaya  linavyoshughulikia  mzozo wa  sasa  wa  Wahamiaji.

Amesema  hali imefikia  katika  kile alichokiita , ishara  ya  aibu” kutokana  na tofauti  zilizopo kimataifa.

Jana Jumanne, wahamiaji  kadhaa, ikiwa  ni  pamoja na  familia  zilizo  na  watoto, wamelazimisha  kupita vizuwizi  vya  polisi  katika  kambi  ya  kuandikishwa  katika mpaka  wa  Hungary  na  Serbia.

Comments are closed.