BAN KI MOON KUTEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI KENYA

BAN KI MOON KUTEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI KENYA

Like
338
0
Wednesday, 29 October 2014
Local News

KATIBU MKUU wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon anatembelea kambi ya wakimbizi ya Daadab, nchini Kenya.

Hii ni mara ya kwanza kwa kingozi huyo mkubwa katika Umoja wa Mataifa kutembelea kambi hiyo kubwa ya wakimbizi.

Ban Ki Moon anatarajiwa kutathmini hali ya msongamano katika kambi hiyo na hali ya usalama ambayo imekuwa ikizorota mara kwa mara.

Aidha ripoti zinasema, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ataidhinisha pia kuondoka kwa baadhi wa wakimbizi wa kisomali waliojitolea kurudi nyumbani.

 

 

 

Comments are closed.