BAN KI MOON: MZOZO WA SYRIA ULIMWENGU UNAPASWA KUONA AIBU

BAN KI MOON: MZOZO WA SYRIA ULIMWENGU UNAPASWA KUONA AIBU

Like
252
0
Wednesday, 01 July 2015
Global News

KATIBU MKUU wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amesema ulimwengu unapaswa kuona aibu kuwa miaka mitatu baada ya nchi zenye nguvu zaidi duniani kuidhinisha azimio mjini Geneva la kuleta amani Syria, lakini bado watu wa nchi hiyo wanataabika kwa kiwango kikubwa na mzozo huo  na huenda Taifa hilo likasambaratika.

Ki Moon  amesema zaidi ya watu 220,000 wameuawa Syria katika vita ambavyo vimedumu kwa miaka mitano na zaidi ya nusu ya idadi ya raia wa nchi hiyo wamelazimika kuyatoroka makaazi yao.

Amesema ni wakati wa kukomesha mzozo nchini humo na kuitaka jumuiya ya kimataifa kulisimamia hilo.

Comments are closed.