BANGI YACHANGIA ONGEZEKO LA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA NCHINI

BANGI YACHANGIA ONGEZEKO LA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA NCHINI

Like
243
0
Tuesday, 24 March 2015
Local News

IMEBAINISHWA kuwa mojawapo ya masuala yanayochangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la Matumizi ya dawa za kulevya nchini, ni uwepo wa shughuli za Kilimo cha Mazao ya aina mbalimbali za Dawa hizo ikiwemo Bangi katika baadhi ya maeneo ya nchi.

Hayo yamesemwa leo Bungeni mjini Dodoma na Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mheshimiwa JENISTER MHAGAMA, wakati akiwasilisha kwa mara ya Pili Muswada wa Sheria ya Udhibiti wa Dawa za kulevya wa mwaka 2014, ambapo ameitaja Mikoa hiyo kuwa ni Tanga, Iringa, Arusha na Mara hali inayochochea kukua kwa kasi kwa tatizo hilo.

Comments are closed.