BARAZA LA SENETI LAPIGA KURA YA MAREKEBISHO YA MSWADA WA SHERIA YA UCHAGUZI DRC

BARAZA LA SENETI LAPIGA KURA YA MAREKEBISHO YA MSWADA WA SHERIA YA UCHAGUZI DRC

Like
283
0
Friday, 23 January 2015
Global News

BARAZA la Seneti nchini DRC limepiga kura kufanyia marekebisho mswada uliopendekeza sheria za uchaguzi kufanyiwa mabadiliko.

Mswada huo ndio uliozua vurugu na ghasia katika Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo kwa wiki moja.

Mabadiliko hayo sasa yanafuta kipengee ambacho kingechelewesha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao.

 

 

Comments are closed.