BARAZA LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA LASHUTUMIWA KUSHINDWA KUTETEA RAIA SYRIA

BARAZA LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA LASHUTUMIWA KUSHINDWA KUTETEA RAIA SYRIA

Like
241
0
Thursday, 12 March 2015
Global News

RIPOTI ya Mashirika zaidi ya Ishirini ya Misaada ya Kibinadamu na yale ya kutetea Haki za Binaadamu yamelishutumu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kushindwa kutetea raia walio katikati ya vita nchini Syria.

Ripoti hiyo imezishutumu nchi zenye nguvu kubwa ya ushawishi duniani kwa kushindwa kutumia nguvu zao kuandaa maazimio ya kusaidia Uhuru wa huduma za Misaada ya Kibinadamu kwa Waathirika.

Aidha Ripoti ya Masharika hayo ni ya kuadhimisha Miaka Minne ya Vita nchini Syria ambavyo vinaendelea hadi hivi sasa.

Comments are closed.