BARCELONA YAILAZA REAL MADRID 2-1

BARCELONA YAILAZA REAL MADRID 2-1

Like
284
0
Monday, 23 March 2015
Slider

Klabu ya soka ya Hispania Real Madrid jana imepokea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa mahasimu wao Barcelona

Goli la kwanza la Barcelona lilitiwa nyavuni na Jeremy Mathieu katika dakika ya 19 wakati bao la pili likifungwa na mshambuliaji wa zamani wa Liverpool Luis Suarez katika dakika ya 56. Huku goli pekee la kufutia machozi la Real Madrid likifungwa na mshambuliaji machachali duniani Christiano Ronaldo dakika ya 31 bao lililodumu hadi mwisho wa mchezo huo maarufu kama El Clasico wenye kutazamwa na mamilioni ya wapenzi wa soka duniani

b3 b2 b

Comments are closed.