BARCELONA YARIPOTIWA KUFIKIA MAKUBALIANO NA JAVIER MASCHERANO

BARCELONA YARIPOTIWA KUFIKIA MAKUBALIANO NA JAVIER MASCHERANO

Like
346
0
Wednesday, 27 July 2016
Slider

Klabu ya Fc Barcelona imerepotiwa kufikia makubaliano na mlinzi wake ‪Javier Mascherano‬ juu ya kuongeza mkataba wa kuendelea kusalia klabuni hapo kwa miaka mitatu zaidi kutoka kwenye mkataba wake wa awali.
Taarifa hizi huenda zikazima ndoto ya mambingwa wa Serie A ‪ Juventus‬ ambayo ilikuwa ikimnyatia baada ya kumsajili Dani Alves‬ kutoka klabu ya Barcelona.

Comments are closed.