BASI LA ARUSHA EXPRESS LAPATA AJALI LEO

BASI LA ARUSHA EXPRESS LAPATA AJALI LEO

Like
719
0
Friday, 13 March 2015
Local News

BASI la Arusha Express limepata ajali leo maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Kisongo jijini Arusha wakati likijaribu kulipita gari ligine na kukutana na lori mbele yake.

Imeelezwa kuwa ili kuepusha madhara, dereva wa lori aliamua kuingia kichakani ili asigongane uso kwa uso na basi hilo.

Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha isipokuwa watu ndani ya lori ndiyo wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitalini.

IMG-20150313-WA0010

Comments are closed.