BASIL MRAMBA NA DANIEL YONA WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA

BASIL MRAMBA NA DANIEL YONA WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA

Like
410
0
Monday, 06 July 2015
Local News

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imewahukumi kifungo cha Miaka mitatu jela Mawaziri waandamizi wa zamani, Basil Mramba na  Daniel Yona.

Hata hivyo, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Hazina, Gray Mgonja ameachiwa huru  baada ya Mahakama kumwona hana hatia.

Viongozi hao walikuwa wanakabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 11.7.

MRAMBA2 MRAMBA

Comments are closed.