BAVICHA YALAANI KUZALILISHWA KWA JAJI WARIOBA

BAVICHA YALAANI KUZALILISHWA KWA JAJI WARIOBA

Like
1617
0
Tuesday, 04 November 2014
Local News

BARAZA la vijana la chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, – Bavicha, limelaani vikali kitendo cha kudhalilishwa kwa Jaji mstahafu Josefu Sinde Warioba na kusema kuwa kitendo hicho ni ukiukwaji wa haki na fedhea kwa Taifa.

B1dWrnBCEAArxSl makonda3 war warioba+px

WAKATI HUO HUO, kufuatia tukio la vurugu zilizotokea katika mdahalo wa Katiba ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere zikihusishwa na aliyekuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba PAUL MAKONDA, Mjumbe huyo amekanusha tuhuma hizo….

makonda

MAKONDA

Jana, mara baada ya vurugu hizo lilijitokeza kundi la vijana lililomuhusisha na vurugu hizo bwana Makonda.

VIJANA

 

Comments are closed.