BAWACHA KUFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA WANAWAKE KESHO

BAWACHA KUFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA WANAWAKE KESHO

Like
243
0
Wednesday, 26 August 2015
Local News

BARAZA la Wanawake la chama cha Demokrasia na Maendeleo-BAWACHA- linatarajia kufanya uzinduzi wa kampeni ya Wanawake wa chama hicho kupitia kongamano linanalotarajia kufanyika  kesho Agosti 27 jijini Dar es salaam.

 

Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam Mwenyekiti wa Baraza hilo Halima Mdee amesema kongamano hilo linalengo la kuwaunganisha wanawake ili waweze kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 na hatimae kufikia lengo la la idadi ya asilimia hamsini kwa hamsini hasa ikizingatiwa kua wanawake ndio wapiga kura kwa asilimia kubwa.

 

Comments are closed.