BBA HOTSHOTS:IDRIS AINGIA KIKAANGONI WIKI HII FUATA MAELEKEZO UWEZE KUMPIGIA KURA

BBA HOTSHOTS:IDRIS AINGIA KIKAANGONI WIKI HII FUATA MAELEKEZO UWEZE KUMPIGIA KURA

Like
334
0
Friday, 14 November 2014
Entertanment

Kumpigia kura idris

1.Dowload apprication inayoitwa WeChart

2.Add BigBrotherAfrica

3.Andika number yako ya simu utatumiwa code ingiza number na utaunganishwa moja kwa moja

4.Fuata hatua kwa makini na unaweza piga kura hadi mara 100

 

Kwa wale wa simu za kawaida

1.Andika neno VOTE likifatiwa na jina la IDRIS

2.Unatuma kwenda namba 15426 kwa sh 600 tu.

 

Kwa website ingia www.bigbrotherafrica.dstv.com kwa kujisajili na account yako ya facebook au email kisha piga kura mara nyingi unavyoweza

Comments are closed.