BEI YA MAZAO YA NAFAKA YAPANDA DAR

BEI YA MAZAO YA NAFAKA YAPANDA DAR

Like
478
0
Thursday, 01 October 2015
Local News

IMEELEZWA kuwa bei ya mazao ya nafaka kwasasa imepanda katika masoko mbalimbali Jijini Dar es salaam kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa yanayopelekea mavuno yasiyo tarajiwa kwa wakulima shambani.

Wakizungumza na efm wafanyabiashara wanao uza mazao hayo katika soko la Tandika wamesema kuwa upandaji huo unasababishwa na aina ya kilimo kilichopo cha kutegemea nvua na siyo umwagiliaji.

Comments are closed.