BEIJING: WANARIADHA 2 WA KENYA WAPEWA MARUFUKU YA MUDA

BEIJING: WANARIADHA 2 WA KENYA WAPEWA MARUFUKU YA MUDA

Like
222
0
Wednesday, 26 August 2015
Slider

Wanariadha wawili wa Kenya wamebainika kwamba walitumia dawa za kusisimua misuli katika mashindano yanayoendelea ya IAAF mjini Beijing.

Wawili hao Koki Manunga na Joyce Zakary wamepewa marufuku ya mda baada ya kutumia dawa hizo kulingana na IAAF.

Wanariadha hao wa mita 400 walilengwa kabla ya kushiriki katika mbio hizo katika hoteli yao mnamo tarehe 20 na 21 Agosti kulingana na taarifa hiyo ya IAAF.

Comments are closed.