BENDERA YA PALESTINA YAANZA KUPEPEA UN

BENDERA YA PALESTINA YAANZA KUPEPEA UN

Like
336
0
Thursday, 01 October 2015
Global News

BENDERA ya Palestina imepeperushwa kwa mara ya kwanza katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York.

Bendera hiyo ilipandishwa kwenye mlingoti kwenye sherehe iliyohudhuriwa na Rais wa Palestina Mahmoud Abbas.

Akihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Bw Abbas amesema ni jambo lisiloeleweka kwamba hadi sasa suala la Palestina kuwa taifa bado halijatatuliwa.

P

Comments are closed.