BENKI ZAFUNGULIWA LEO UGIRIKI

BENKI ZAFUNGULIWA LEO UGIRIKI

Like
206
0
Monday, 20 July 2015
Global News

BAADA ya kupata mkopo wa usaidizi wa euro biloni 7 kutoka Umoja wa Ulaya,hatimaye benki nchini Ugiriki zimefunguliwa leo, baada ya kufungwa kwa wiki tatu kuepusha uchumi wa nchi hiyo kuporomoka.

Hata hivyo, Vikwazo juu ya uhamishaji wa fedha nje ya nchi na udhibiti mwengine wa fedha bado vitaendelea kuwepo.

Ugiriki pia inatarajiwa kulipa deni la Euro bilioni 4 kwa wakopeshaji wake Benki Kuu ya Ulaya siku ya leo.

Comments are closed.