BIBI ABIOLA DELUPE MWAKILISHI WA UBALOZI WA NIGERIA AITEMBELEA EFM

BIBI ABIOLA DELUPE MWAKILISHI WA UBALOZI WA NIGERIA AITEMBELEA EFM

Like
1133
0
Tuesday, 23 February 2016
Local News

Mwakilishi wa ubalozi wa Nigeria, bibi Abiola Delupe aitembelea Efm Radio leo  katika vitengo tofauti na  kuona utendaji kazi wa radio. Huku akikutana na baadhi ya watangaziji  kujadili mambo tofauti tofauti na jinsi watakavyo weza kuendeleza kazi zoa nje ya mipaka ya Tanzania.

1

Bibi Abiola Delupe akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Efm radio Francis Ciza.

2

Baadhi ya viogozi wa Efm Radio katika mazungumzo na Bibi Abiola Delupe.

3

Meneja mkuu Dennis Ssebbo akijadili mambo tofauti kuhusiana na ufanisi wa kazi katika radio hiyo.

4

Comments are closed.