BILIONI 100 KUJENGA DARAJA KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MAGARI

BILIONI 100 KUJENGA DARAJA KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MAGARI

Like
384
0
Tuesday, 18 November 2014
Local News

IMEELEZWA kuwa, ili kupunguza msongamano wa Magari Jijini Dar es Salaam Wizara ya Ujenzi imepanga kujenga Daraja la pili pembeni ya Daraja la Salenda litakalo gharimu zaidi ya fedha za kitanzania shilingi bilioni mia moja.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Waziri wa Ujenzi Dokta JOHN MAGUFULI ameeleza kuwa Daraja hilo jipya litakuwa na uwezo wakupitisha magari zaidi ya elfu sitini kwa siku.

Comments are closed.