BIRDMAN KUMFIKISHA LIL WAYNE MAHAKAMANI!!!

BIRDMAN KUMFIKISHA LIL WAYNE MAHAKAMANI!!!

Like
343
0
Monday, 15 December 2014
Entertanment

 

Birdman amekataa kumuacha Lil Wayne atoke kwenye recording label yake ya Cash Money music richa ya maneno yote yanayosemwa na Lil Wayne kutokuwa mazuri kwa bosi huyo.

Birdman amekasirishwa saana na maneno ya Lil Wayne ambae amedai anapoteza kipaji chake kwa kuchelewa kutoa albam mpya sokoni hali iliyompelekea weezy kuanza kutupa vijembe mitandao kwa kutweet maneno haya “I want off this label and nothing to do with these people.”

Birdman ameapa kumfikisha Lil Wayne mahakamani iwapo atakwenda kinyume na mkataba wao na kuongeza ya kuwa Weezy ni msanii na sio mfanya biashara hivyo hakuna analolijua

Birdman amepanga kuachia albam hiyo kwa muda wake hali inayomfanya Lil Wayne ajiite mfungwa wa cash money

Hizi ni sehemu ya Tweet za Lil Wyne

WEEEZ3

Comments are closed.