BOKO HARAM LAZINDUA KIWANDA CHA MABOMU

BOKO HARAM LAZINDUA KIWANDA CHA MABOMU

Like
315
0
Tuesday, 03 November 2015
Global News

KUNDI la wapiganaji wa Kiislamu la Boko Haram limezindua kiwanda wanachotumia kuunda mabomu na silaha zingine kali Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.

Wachunguzi wamesema kuwa picha zilizopigwa wakati wa uzinduzi wa kiwanda hicho zinaonesha kuwa zilipigwa katika chuo cha kiufundi cha Bama.

Haijabainika iwapo mashine hizo za chuo hicho zilinaswa na maafisa wa jeshi la Nigeria licha ya waasi hao kupigwa na kuondolewa katika maeneo mengi ya kaskazini mwa Nigeria.

BOKO4

BOKO

Comments are closed.