BOKO HARAM YARIPOTIWA KUFANYA SHAMBULIO NA KUUA WATU KADHAA KASKAZINI MWA NIGERIA

BOKO HARAM YARIPOTIWA KUFANYA SHAMBULIO NA KUUA WATU KADHAA KASKAZINI MWA NIGERIA

Like
278
0
Friday, 09 January 2015
Global News

WANAMGAMBO wa kundi la Boko Haram wameripotiwa kuwauwa watu kadhaa katika mashambulio kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Nyumba pia zimechomwa katika wimbi la hivi karibuni la mashambulizi katika jimbo la Borno.

Hali hiyo imekuja baada ya kundi hilo lenye Itikadi Kali ya Kiislamu kuuteka mji wa Baga mwishoni mwa Juma.

 

Comments are closed.