BOKO HARAM YASHAMBULIA MSAFARA WA MNADHIMU MKUU WA JESHI NIGERIA

BOKO HARAM YASHAMBULIA MSAFARA WA MNADHIMU MKUU WA JESHI NIGERIA

Like
239
0
Monday, 24 August 2015
Global News

KATIBU MKUU wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon anaendelea na ziara yake ya siku mbili nchini Nigeria.

Ki Moon aliwasili jana mjini Abuja saa chache baada ya jeshi kutangaza wapiganaji wa kundi la Boko Haram walikuwa wameushambulia msafara wa mnadhimu mkuu wa jeshi la nchi hiyo Luteni Kanali Tukur Buratai.

Buratai ambaye hakudhurika, alikuwa akiwatembelea wanajeshi Jumamosi wakati wanamgambo walipokishambulia kijiji cha Falijari,  kilometa 40 mashariki ya mji mkuu wa jimbo la Borno, Maiduguri.

Comments are closed.