BOMOA BOMOA KUENDELEA KESHO JANGWANI

BOMOA BOMOA KUENDELEA KESHO JANGWANI

Like
331
0
Monday, 04 January 2016
Local News

KAZI ya kuweka alama ya X , nyumba zitakazobomolewa kesho, inaendelea leo katika eneo la Jangwani baada ya mapumziko ya sikukuu za Mwisho wa Mwaka.

 

Mwanasheria wa Baraza la Taifa la usimamizi wa Mazingira-NEMC, Manchare Suguta, amesema wamehakikishiwa ulinzi wa kutosha Kutokana na wiki iliyopita, wananchi kufanya vurugu wakipinga nyumba zao kuwekwa alama hiyo.

 

Suguta amesema nyumba elfu 4 zinatarajiwa kuwekwa alama ya X.

Comments are closed.