BOMOABOMOA YAANZA BONDE LA MTO MSIMBAZI

BOMOABOMOA YAANZA BONDE LA MTO MSIMBAZI

Like
519
0
Thursday, 17 December 2015
Local News

IMEELEZWA kuwa, ili kuhakikisha kwamba wananchi wanaishi kwa raha na amani kipindi chote cha mwaka  hasa kipindi cha masika,  serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania  leo imeanza kubomoa baadhi ya maeneo yanayo zunguka bonde la mto msimbazi.

Efm imetembelea maeneo ambapo zoezi la bomoa bomoa limetekelezwa na kushuhudia  katapila la serikali likivunja nyumba hizo ambapo mpaka efm inaondoka zaidi ya nyumba 30  zilikuwa zimevunjwa .

Wakizungumza na e fm huku zoezi likiwa linaendelea baadhi ya viongozi wanao simamia zoezi hilo wamesema wao kama viongozi wamefika pale ili kukamilisha Zoezi ambayo walilitolea taarifa mapema  kwa wakazi hao tangu mwaka ulio pita .

Comments are closed.