BOMU LAUA 16 MISRI

BOMU LAUA 16 MISRI

Like
238
0
Friday, 04 December 2015
Global News

WATU 16 wameuawa katika mji mkuu wa Mirsi, Cairo, baada ya bomu kulipuliwa kwenye mgahawa mmoja lililopo eneo la Agouza, katikati ya jiji hilo.

GAZETI la The Cairo Post linasema watu watatu waliokuwa wamejifunika nyuso zao walirusha bomu mgahawani na kisha kutoroka.

Shirika la habari la Reuters limemnukuu afisa mmoja wa usalama, ambaye hakutajwa jina lake, akisema mmoja wa washukiwa ni mfanyakazi wa zamani wa mgahawa huo

Comments are closed.