BOMU LAUA 50 BAGHDAD

BOMU LAUA 50 BAGHDAD

Like
296
0
Thursday, 13 August 2015
Global News

BOMU  kubwa  lililokuwa  katika  gari  limeripuka  katika soko  lililokuwa  na  watu  wengi mjini  Baghdad  leo na kusababisha  watu 50  kuuwawa  na  wengine  150 wamejeruhiwa.

 

Polisi   mjini  Baghdad  imesema  gari hilo  liliripuriwa katika  soko  la  chakula  la  Jamila  katika  mji wa  Sadr, ambao wakazi wake wengi ni Washia , Mashariki  mwa Baghdad.

 

Maafisa  wa hospitali  wamesema  wengi  wa  wahanga wamepata  majeraha  makubwa .

 

Comments are closed.