BRAZIL: MAANDAMANO MAKUBWA YAFANYIKA DHIDI YA RAIS

BRAZIL: MAANDAMANO MAKUBWA YAFANYIKA DHIDI YA RAIS

Like
344
0
Monday, 16 March 2015
Global News

ZAIDI ya Watu Milioni moja kutoka nchini Brazil wameandamana dhidi ya rais wa nchi hiyo DILMA ROUSSEFF, huku wengi wao wakitaka Rais huyo afunguliwe Mashtaka ya Ufisadi uliofanyika katika Shirika la Mafuta La serikali, Petrobras.

Maandamano kama hayo yamefanyika katika miji mingi ya Brazil ikiwemo Mji Mkuu wa nchi hiyo Brasilia.

Maandamano makubwa kabisa yamefanyika katika mji wa Sao Paulo ambalo ni eneo la upinzani waliokuwa wakipita mitaani.

BRA

BRA4

BRA5

 

 

Comments are closed.