BRAZIL: MABOMU YA MACHOZI YATUMIKA KUTAWANYA WAANDAMANAJI

BRAZIL: MABOMU YA MACHOZI YATUMIKA KUTAWANYA WAANDAMANAJI

Like
272
0
Friday, 18 March 2016
Local News

POLISI nchini Brazil wamefyatua mabomu ya kutoa machozi kuwazuia waandamanaji kutoka makao makuu ya rais Dilma Roussef.

Maelfu ya watu wanaotaka aachie madaraka waliandamana katika mji mkuu Brasilia.

Wanamlaumu rais Roussef na chama chake cha workers party kwa ufisadi, lakini pia kulikuwa na maandamano ya kumpinga Roussef katika mji mkubwa zaidi nchini Brazil wa Sao Paolo.

Comments are closed.