BRAZIL YAANZISHA UCHUNGUZI KUFUATIA MAUAJI YA WATU 35

BRAZIL YAANZISHA UCHUNGUZI KUFUATIA MAUAJI YA WATU 35

Like
201
0
Tuesday, 21 July 2015
Global News

MAMLAKA ya Ulinzi nchini Brazil katika mji wa Manaus imeanzisha uchunguzi kufuatia mauaji yaliyotokea na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 35 kati ya wiki iliyopita na siku ya jana asubuhi.

Taarifa zinaeleza kwamba Mauaji hayo yalianza mara baada ya sajenti mmoja wa polisi kupigwa risasi nje ya Benki katika nji huo ambao ni mwenyeji wa michuano ya Olympic mwaka 2016.

Hata hivyo Mauaji hayo yaliyoanza siku ya ijumaa usiku na kuendelea Siku ya jumatatu yamesababisha Vikosi vya usalama wa raia kufuatilia kwa kuendesha uchugunzi kuhusu chanzo cha mauaji hayo.

Comments are closed.