BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YATOKEA IRINGA

BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YATOKEA IRINGA

Like
1006
0
Wednesday, 11 March 2015
Local News

KUMETOKEA ajali mbaya  mjini Mafinga eneo la Changalawe  Mkoani Iringa baada ya abiria wanaodhaniwa kufikiwa 40 , wa basi la Majinja lilikuwa linatokea Mbeya kuelekea Dar es salaam  kufunikwa na kontena

 

Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa, Ramadhani Mongi ajali hiyo imetokea asubuhi  ya leo.

Inasemekana idadi kubwa ya abiria hao wamefariki lakini Kamanda Mongi ameiambia EFM kwa njia ya simu kuwa taarifa kamili kuhusiana na ajali hiyo itatolewa mara baada ya kukamilisha Zoezi la kuitoa miili Katika gari hilo.

tunaomba radhi kwa picha hizi

IMG-20150311-WA0007 IMG-20150311-WA0013 IMG-20150311-WA0014 IMG-20150311-WA0015

Comments are closed.