BREAKING NEWS: WATU 140 WAHOFIWA KUFA KUFUATIA AJALI YA NDEGE KASKAZINI MWA INDONESIA

BREAKING NEWS: WATU 140 WAHOFIWA KUFA KUFUATIA AJALI YA NDEGE KASKAZINI MWA INDONESIA

Like
349
0
Wednesday, 01 July 2015
Global News

Zaid ya watu  140 wanahofiwa kufariki dunia kufuatia ajali ya ndege ya Kijeshi kuanguka katika makazi ya watu muda mfupi baada ya kupaa. Kaskazini mwa Indonesia . polisi na timu ya Taifa ya uokozi wanaendelea kuwatafuta waathirika wengine kwenye eneo hilo la tukio  katika mji wa Medan.

Comments are closed.