BRIT AWARDS 2015: MADONNA AANGUKA JUKWAANI

BRIT AWARDS 2015: MADONNA AANGUKA JUKWAANI

Like
282
0
Thursday, 26 February 2015
Entertanment

Mkongwe katika tasnia ya muziki duniani Madonna amepatwa na mkasa huo wakati anatumbuiza kwenye maonyesho ya ugawaji wa tuzo za Brit kwa mwaka 2015.

Katika tuzo hizo Sam Smith na Ed Sheeran wameondoka na tuzo mbili mbili kila mmoja

Madonna alikutwa na balaa hilo pale mmoja wa wanenguaji wake alipojaribu kuivua kofia ya msanii huyo iliyounganishwa na vazi kama joho

Hata hivyo msanii aliendelea na show yake na kuonyesha hakuathiriwa na tukio hilo

Kupitia akaunti yake ya twitter Madonna alitoa shukrani zake kwa mashabiki waliomuombea na kusema kuwa anaendelea vizuri

madonna2

 

 

Comments are closed.