BUNGE LAWASILISHA MUSWADA WA SHERIA YA TUME YA WAALIMU WA MWAKA 2015 LEO

BUNGE LAWASILISHA MUSWADA WA SHERIA YA TUME YA WAALIMU WA MWAKA 2015 LEO

Like
196
0
Wednesday, 08 July 2015
Local News

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo limewasilisha bungeni muswada wa sheria ya tume ya walimu wa mwaka 2015 wenye lengo la kuboresha huduma za walimu nchini.

Akisoma muswada huo kwa mara ya pili bungeni mjini Dodoma Waziri wa Elimu na mafunzo ya Ufundi mheshimiwa Shukuru Kawambwa amesema kuwa lengo kuu la muswada huo ni kutunga sheria ya usimamizi wa masuala muhimu ya walimu ili kuleta manufaa zaidi.

Waziri Kawambwa amebainisha kuwa muswada huo utarahisisha pia uwajibikaji kwa walimu wasiofuata utaratibu sahihi katika utendaji wao wa kazi

Comments are closed.