BWANA E AKIGAWA ZAWADI KWA WAPENZI NA MASHABIKI WA EFM KIBAHA

BWANA E AKIGAWA ZAWADI KWA WAPENZI NA MASHABIKI WA EFM KIBAHA

Like
423
0
Thursday, 13 August 2015
Entertanment

Tukipata picha na mashabiki wa EFM maeneo ya Kibaha kuwashukuru na kuwatunza kuwapa zawadi kwa kutusikiliza ikiwa ni maandalizi ya ujio wa Muziki mnene bar kwa bar.

New Picture

Bango la MUZIKI MNENE lilionekana maeneo ya mjini Kibaha, lilowekwa na mmoja wa mashabiki wa EFM Radio 93.7.

gh

Kushoto ni Jimy Jam mfanyakazi wa efm akipozi kwa pamoja na Mmoja kati ya washindi  wa kwanza kutoka kulia, bwana Halid, akipewa zawadi yake baada ya kuweka bango la EFM MUZIKI MNENE eneo la Kibaha jana. Alipata zawadi ya T-shirt na kifurushi chenye tuvitu vitu kibao.

New gfg

Mshindi  mwingine  wa Muziki mnene bango, akifurahia kupokea zawadi yake aliyokabidhiwa na Jimy Jam wa EFM.

gfd

EFM 93.7, inawashukuru washabiki na wasikilizaji wao kwa kuwapa zawadi mbalimbali kwa kuendelea kusikiliza matangazo yake na pia kwa kuendelea kusambaza ujumbe kuhusu MUZIKI MNENE. Ukiendelea kuweka bango la EFM Muziki mnene katika sehemu yako ya biashara na unasikiliza matangazo yake basi utapata kifurushi chenye tuvituvitu kibao.

Comments are closed.