CARRICK: INATUUMIZA KUSIKIA HATUTOI MSAADA KWA VAN GAAL

CARRICK: INATUUMIZA KUSIKIA HATUTOI MSAADA KWA VAN GAAL

Like
317
0
Monday, 28 December 2015
Slider

Wachezaji wa Manchester United wanajitahidi kwa kila hali kunusuru kibarua cha Van Gaal, kauli ya Carrick

Kiungo wa klabu ya Manchester United Michael Carrick amesema kuwalaumu wachezaji wa klabu hiyo kuwa hawaonyeshi juhudi za kutosha kwa meneja wa klabu hiyo Louis van Gaal ni kukosewa heshima.

Carrick ameongeza kuwa kauli hizo zinazokuja kufuatia kufanya vibaya kwa klabu yao zinawaumiza kwa sababu hawapo tayari kuona meneja wao anakuwa kwenye wakati mgumu, hatuwezi kuficha tupo kwenye hali mbaya na tunahitaji kutoka kwenye hali hii

Comments are closed.