Entertanment

CRIS BROWN AMTAKA MAMA WA MTOTO WAKE AHAMIE L.A
Entertanment

Kwa kawaida ya mastar wengi huko Hollywood huwakimbia waschana wanaowapa mimba pasi na matarajio yao zaidi inapotokea kwa michepuko yao ila hii ni tofauti kwa star aliemaliza kutumikia kifungo cha nje alipokutwa na hatia za kumtandika aliekuwa mpenzi wake Rihanna hapa namzungumzia Cris Brown Hivi karibuni kumekuwa na stori za star huyo kuvunja mahusiano yake na mwanadada karrueche tran kufuatia kugundulika kuwa na mtoto aliezaa na mschana mwingine. Cris Brown amekuwa karibu na Nia Guzman toka iliporipotiwa kuwa yeye ni baba wa...

Like
314
0
Wednesday, 25 March 2015
HII NDIO ZAWADI YA KEVIN HART KWA ALIEKUWA MKEWE
Entertanment

  Kevin Hart akabidhi funguo za ndinga mpya aina ya cadillac Escalade ya mwaka 2015  kwa aliekuwa mke wake Torrei Hart. Wawili hawa walitengana miaka mitano nyuma lakini Muigizaji huyu hajapoteza nafasi ya kumjali mama wa watoto wake wawili. Nyota wa Atlanta Exes  Torrei amesherehekea birthday yake ya 37 mapema feb 28 na kushea picha kupitia ukurasa wake wa instagram  march 28 kuonyesha zawadi ambayo Kevin amemzawadia na kuandika caption ya maneno haya ikiwa kama sehemu ya kushukuru  “Big shout...

Like
360
0
Friday, 20 March 2015
RAPA WA SUDANI AFUNGIWA KUPANDA NDEGE ZA WESTJET CANADA BAADA YA KUTISHIA KUMTAFUNA MUHUDUMU
Entertanment

Kampuni ya usafiri wa anga ya nchini Canada WestJet imemfungia rapa kutokea Sudan Emmanuel Jal kutopanda ndege ya shirika lao WestJet katika maisha yote. Hatua hiyo ya kampuni hiyo imekuja mara baada ya rapa huyo kumtishia mmoja wa wahudumu wa ndege hiyo kuwa analeseni inayomruhusu kumtafuna binadamu hivyo anaweza kumtafuna muhudumu huyo iwapo hatampatia kitafunwa. Shirika hilo la gharama nafuu ya usafiri wa anga limechapisha taarifa hiyo kwenye tovuti yao kwakuonyesha kuwa wamekwazika na rapa huyo ambae aliwahi kuwa mwanajeshi...

Like
299
0
Wednesday, 18 March 2015
CINDY SANYU KUJA NA KAMPUNI YA UBUNIFU WA MAVAZI
Entertanment

Miezi michache tu tangu mkali kutoka Uganda Cindy na mpenzi wake Ken Muyisa waanze kuwekeza kwenye biashara ya bar sasa hiki ndicho kinachofuata kutoka kwa msanii huyu. Cindy ametangaza kuanzisha biashara mpya ya ubunifu wa mavazi na mitindo, akiongea kwenye moja ya interview yake hivi karibuni anampango wa kufungua kampuni hiyo hivi karibuni na kwa sasa ameanza kusambaza T-shirt, kofia nk. Pia ametangaza jina litakalosimama kama label ambalo ni CS herufi zilizotoka kwenye jina lake Cindy...

Like
293
0
Monday, 16 March 2015
ELANI KUFANYA WIMBO NA YVONNE CHAKACHAKA
Entertanment

Kundi la muziki kutoka Kenya Elani, waliofanya vizuri na nyimbo kama kookoo na nyingine kibao zilizowatambulisha kwenye ramani ya muziki Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla. Wasanii hao kwa sasa wapo mbioni kufanya wimbo wa pamoja na mkali kutoka Afrika kusini Yvonne Chaka Chaka ambapo taarifa hizo zimethibitishwa na Chaka Chaka mwenyewe wakati akitumbuiza kwenye moja ya...

Like
331
0
Monday, 16 March 2015
NEW VIDEO: LINEX FT DIAMOND SALIMA
Entertanment

Video imetayarishwa na Adam...

Like
1447
0
Friday, 13 March 2015
NEW VIDEO: OMMY DIMPOZ WANJERA
Entertanment

Haya ndio majibu ya maswali ya muda mrefu kuhusu picha za mahaba zilizokuwa zikisambazwa na kuzua maswali iwapo kuna ukweli kwamba Ommy Dimpoz na Wema ni wapenzi. mbali na wema mshindi wa BBA Hotshot pia Idris Sultan ameshiriki kwenye video hiyo Huu ni wimbo mpya wa Dimpozi video imefanywa na kampuni ya Godfather huko Afrika...

Like
1036
0
Friday, 13 March 2015
NICK CANNON: MARIAH CAREY ANAUZA NYUMBA BILA KUNISHIRIKISHA
Entertanment

Nick Cannon adai aliekuwa mkewe Mariah Carey hakumuhusisha na jambo lolote kwenye mjadala wa kuuza nyumba. Nick ameeleza kuwa meneja wao anaehusika na mambo yote ya kibiashara ndie alikuwa kinara wa kuongoza hatua zote muhimu katika uuzwaji wa nyumba hiyo ya kifahali na kumuweka kizani kwa asilimia mia moja kwa kutomfahamisha chochote kwa mujibu wa Nick. Kwa mujibu wa chombo cha kusimamia sheria Cannon amesema hakuidhinisha jumba hilo la kifahari kuuzwa kwa dola milioni 9 za kimarekani, nyumba ambayo Nick...

Like
311
0
Tuesday, 10 March 2015
PICHA: UJAUZITO SI KIKWAZO KWA TIWA SAVAGE AFANYA BONGE LA SHOW UGANDA
Entertanment

Tiwa Savage  richa ya kuwa sasa anaujauzito upatao miezi tena ila kwake haikuwa kikwazo kutua nchini Uganda na kuafanya bonge la show kwenye Airtel Inspiring Women Concert na kushiriki pia kwenye tuzo za mitandao ya kijamii nchini humo  ikiwa ni masaa machache baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa nchini humo siku ya jumamosi. Mwimbaji huyo kutoka kwenye kundi la The Marvin hakuwepo katika show ya AMVCA iliyofanyika huko kwao Nigeria amapo mastar kadhaa wa Afrika walihusika jukwaaniakiwemo Diamond...

Like
465
0
Monday, 09 March 2015
MEXICANA LACAVELA KUJA NA BIASHARA!!!!
Entertanment

Kutoka kwenye kundi lililowahi kufanya vizuri Mexcana Lacavela na baadae kuvunjika kimya hivi karibuni kumekuwapo na tetesi za kuwa kundi hilo limerudi tena kwa kuwakutanisha member wake kwenye wimbo mmoja uliopewa jina la biashara ambao kwa mujibu wa vyanzo vya habari wimbo huo umetayarishwa na producer Mr T touch. Swali linalokuja kimsingi tumezoea kusikia kazi za kundi hilo zikifanywa na producer Messsen kwa nini kazi hii imefanywa na Mr T, Je kuna tatizo kati yao na producer Messen au wameamua...

Like
577
0
Wednesday, 04 March 2015
PICHA: JUSTIN BIEBER AHAMIA KWENYE MJENGO MPYA
Entertanment

Justin Bieber ahamia kwenye mjengo mpya wenye hadhi ya kipekee huko Beverly Hills Calfonia Wadadisi wa mambo huko marekani wanaitaja hatua hiyo ya msanii huyo kuwa ni kama ni sehemu ya kupunguza gharama za maisha kwa kulinganisha kodi ya mwezi aliyokuwa akilipa kwenye kasri ya glass palace ambapo kwa mwezi alikuwa akilipa dola za kimarekani $60,000 ila kwa huu mjengo wa sasa analipia $35,000 kwa mwezi ambayo ni sawa na punguzo la nusu ya gharama kw kulinganisha na kodi ya...

Like
971
0
Friday, 27 February 2015