Mkongwe katika tasnia ya muziki duniani Madonna amepatwa na mkasa huo wakati anatumbuiza kwenye maonyesho ya ugawaji wa tuzo za Brit kwa mwaka 2015. Katika tuzo hizo Sam Smith na Ed Sheeran wameondoka na tuzo mbili mbili kila mmoja Madonna alikutwa na balaa hilo pale mmoja wa wanenguaji wake alipojaribu kuivua kofia ya msanii huyo iliyounganishwa na vazi kama joho Hata hivyo msanii aliendelea na show yake na kuonyesha hakuathiriwa na tukio hilo Kupitia akaunti yake ya twitter Madonna alitoa...
Kama haukubahatika kutazama sherehe za ugawaji wa tuzo za Oscar huko Marekani basi hii inakuhusu Tuzo hizo za awamu ya 87 za Oscar zilifanyika February 22, 2015, huko Hollywood Dolby Theatre kwenye jiji la Los Angels. Katika sherehe hizo mastar wengi wa Hollywood walihudhuria akiwemo aliyekuwa mpenzi wa mchezaji nyota duniani Cristiano Ronaldo Irina Shayk. Vazi la mrembo huyu liliwaacha vinywa wazi baadhi ya wanaume waliokuwa kwenye sherehe...
Kutoka kwenye kundi la Waswazi, baada ya kufanya powa na wimbo wa Jirani wamerudi tena na wimbo huu Waswazi Song: Kijiji Produced by Abba Studio: Vipaji...
kwa wale watumiaji wa mtandao wa instagram wenye kuwafollow mapacha kutokea nchini Nigeria P square hivi karibuni wamekuwa wakipost picha nyingi wakiwa nchini Afrika kusini sasa hiki ndicho walichokuwa wanafanya P Square ft Don Jazzy Song: Collabo Video imeoongozwa na Clarence Peters na Jude...
Mhariri mkuu wa Efm radio scholarstica mazula alipotembelea hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kwa mwaliko wa hifadhi hiyo pamoja na wahariri wengine kutoka vyombo mbalimbali vya...
Wiz Khalifa ametangaza kuitumia picha kama ushahidi atakaposimama mahakamani kudai kupewa mamlaka ya kukabidhiwa mwanae ili aweze kuishi nae, picha hiyo inaonyesha sehemu ya nyumba ya Amber rose ambae ni mama wa motto huyo mwenye mwaka mmoja anaishi na mototo. Wiz na Amber wamekuwa katika vita ya maneno kwa muda sasa toka watangaze kuachana huku kila mmoja akimtupia lawama mwenzake wakati Amber rose anadai wamefikia maamuzi hayo kutokana na kile alichodai Wiz amekuwa akimsaliti wakati anapotoka kwenda kwenye safari za...
Mkali kutokea Kenya hutmaker wa ngoma ya Kigeugeu, Kioo na nyingine kibao hivi karibuni anatarajia kuachia mzigo mpya unaokwenda kwa jina la huu mwaka. Jaguar mapema hapo jana alishea kipande cha video ya wimbo huo iliyofanywa chini ya kampuni ya Godfather Video dropping soon… watch the full trailler here http://youtu.be/MDxn7c9iqPI #huumwaka A post shared by Hon. Jaguar (@jaguarkenya) on Feb 18, 2015 at 12:33am...
Sauti sol ni kundi ambalo kwa sasa linafanya vizuri katika tasnia ya muziki wa Afrika, ni wazi kuwa kundi hili limeanza kupata mafanikio makubwa kimuziki kwa kutambulika katika ramani ya dunia Ukitaja orodha ya nyimbo zinazofanya vizuri kutoka Afrika mashariki basi hutoweza kuacha kutaja wimbo wa Sura yako kufuatia kuwa moja ya nyimbo zinazopendwa saana hapa Tanzania Kundi hili hivi karibuni lilikuwa nchini Marekani katika ziara yao ambapo walipata nafasi ya kutumbuiza kwenye mgahawa maarufu duniani wa Hard Rock...
Kila mwaka,tarehe 14 Februari,watu duniani kote huadhimisha siku ya wapendanao duniani. Kama ilivyo ada,wengi wetu tumezoea kuadhimisha siku hiyo na aidha mume,mke au mpenzi. Ila kituo cha redio cha 93.7 EFM, kinawapa nafasi ya kipekee wasikilizaji wao kuchagua mtu ambao wao ndio wanamuona kama mchizi wao. Meneja Uhusiano wa 93.7 EFM,Kanky Mwaigomole,amesema mchizi wako sio lazima awe mpenzi wako,bali anaweza kuwa kaka,dada,jirani,bosi wako au hata mama mkwe wako,wote hao wanaweza kuwa mchizi wako. “Sio lazima kila mwaka tufanye mambo...
Kutana na Ssebo pamoja na Rachel katika Joto la asubuhi, kipindi kinachoruka kupitia hapahapa 93.7efm kila siku ya jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa kumi na mbili asubuhi hadi saa tatu...
Baba mzazi wa Bobi Wine amefariki dunia Taarifa za awali kutoka nchini Uganda zinaeleza kuwa baba mzazi wa msanii Bob Wine mzee Mzee J.W Ssentamu amefariki dunia leo baada ya kuugua kisukari kwa muda mrefu. Watu mbalimbali wameanza kutoa salamu za rambirambi kwa familia hiyo kufuatia kifo hicho kilichotokea kwenye hospitali ya Mulago huko Uganda. Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema...