Entertanment

VIDEO: D’BANJ AITANGAZA BIDHAA YAKE KWENYE VIDEO MPYA
Entertanment

Mkali kutoka Nigeria ambae yumo kwenye list ya wasanii manaotengeneza mpunga mrefu D’banj miezi kadhaa nyuma alitangaza bidhaa yake ya KOKO GARRI katika video ya wimbo mpya kabisa aliotoa D’banj Feeling the Nigga ameonekana zaidi akiutangaza utalii na utajiri wa asili unaopatikana Afrika lakini alienda mbali zaidi kibiashara kwa kuonyesha moja ya bidhaa zake KOKO GARRI itazame video hapa  ...

Like
343
0
Friday, 02 January 2015
TIWA SAVAGE NI MJAMZITO!!
Entertanment

Mwimbaji kutoka Nigeria huenda mwaka 2015 ukawa mwaka mzuri zaidi kwake mara baada ya kupost picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa na mumewe Tunji TJ Balogun huku wameshika viatu vya mototo. Huku caption ya picha hiyo ikithibitisha kuwa Tiwa ni mjamzito. Huyu atakuwa motto wa kwanza kwa mwimbaji huyo lakini mumewe tayari amebahtika kuwa na watoto wawili kutoka kwenye mahusiano yake...

Like
325
0
Friday, 02 January 2015
RADIO NA WEASEL JELA INAWAITA
Entertanment

  Wakali kutoka Uganda Radio na Weasel huenda wakatiwa mbaroni mara baada ya kusabisha utata kwenye moja show waliyotakiwa kuifanya katika siku ya Boxing day huko Uganda lakini hawakutokea kwenye tamasha hilo hali iliyopelekea kuzuka kwa Ugomvi katika show hiyo amabapo baadae nguvu ya polisi ilihusika kutuliza mashabiki hao Kwa mujibu wa muandaaji wa show hiyo Radio na Weasel walilipwa kiasi cha shilingi milioni 9 za Uganda kama malipo ya awali Wasanii hao hawakuwepo nchini Uganda katika muda huo hivyo...

Like
283
0
Tuesday, 30 December 2014
KUMBE KUONGEZA SIFURI SIO BONGO TU!!!!
Entertanment

Hatimae Justin Bieber’s ametolewa kwenye club ya umoja wa mastar wanaomiliki ndege binafsi na hii imekuja mara baada ya Jb kugundulika kama ndege iliyokuwa inaaminika ni ya kwake hana umiliki nayo na ndege hiyo ipo sokoni kwa maaana inauzwa Bieber’s alipost picha instagram kuelekea siku ya Krismas akiwa kwenye ndege hiyo na kuandika caption ya maneno haya “New jet for Christmas, and she’s beautiful” Richa ya msanii huyo kutajwa kumiliki kiasi cha dola milioni 200 za kimarekani lakini ndege hiyo...

Like
438
0
Tuesday, 30 December 2014
WILLY PAUL AMPA KICHAPO MPENZI WAKE
Entertanment

Inajulikana kwamba Willy Paul anampenda sana Rihanna kutokana na kwamba wimbo aliouchia hivi karibuni ulitokana na wimbo Rihanna “Rehab”, lakini haikujulikana kama anafanana tabia na Chris Brown. Girlfriend wa Willy Paulo super gorgeous Michelle hivi karibuni alilalamikia tabia ya Willy Paul ya kumpiga na kumkaba. Akitoa taarifa hiyo anasema “Willy Paul amekuwa akimfanyia vurugu mara kadhaa. Mara ya kwanza alimkaba na kumsababishia michubuko upande wa kushoto ya shingo. Hii ni kwa sababu alitaka simu yake na michelle...

Like
610
0
Wednesday, 24 December 2014
DIAMOND AMPIGA ZARI PICHA ZA UTUPU???!!!!
Entertanment

  Zari Hassan mkali kutoka Uganda hatimae amefunguka kuhusiana na tuhuma iliyokuwa ikimkabili kuwa amevujisha picha za makalio yake akiwa kitandani kwenye mitandao ya kijamii kwa kusema kwamba si yeye aliekuwa kwenye picha hizo na anawapa pole wote waliomfikiria vibaya Takribani siku kadhaa nyuma picha zilizoonyesha makalio zilivuja kwenye mtandao huku ikidaiwa kuwa Zari ndie mwenye picha hizo na Diamond ndie alimpiga picha hiyo wakati yupo nae kitandani siku moja kabla ya party ya Zari iliyofnyika Guvnor Dec. 18. Kupitia...

2
2455
0
Tuesday, 23 December 2014
MCHEPUKO WAMUHARIBIA WIZKID
Entertanment

Mwanamke ambae hakutaka jina lake lifahamike ametuma barua pepe yenye kuelezea mahusiano yake na mkali kutoka Nigeria Wizkid ambapo ameeleza kuwa mahusiano yao ni ya muda mrefu na kuwa hivi karibuni alishea usiku mzito wa kimahaba na star huyo katika hoteli moja huko Lagos aliyoitaja kwa jina la Eko Binti huyo ametuma picha za baadhi ya vitu anavyomiliki star huyo ikiwemo tatoo iliyochorwa kwenye mwili wa Wizkid akiwa kitandani Binti huyo alienda mbali zaidi na kumtambia mpenzi wa Wizkid Tania...

Like
515
0
Monday, 22 December 2014
KIDOTI YA JOKATE YAINGIA UBIA NA KAMPUNI YA CHINA
Entertanment

KAMPUNI ya Kidoti inayojishughulisha na utengenezaji wa Nywele, Viatu, Mikoba na bidhaa mbalimbali leo imesaini mkataba wa dolla milioni tano kwa lengo la kujenga Ushirikiano na Kampuni ya Rainbow shell Craft ya Nchini China. Akizungumza leo jijini Dar es salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Kidoti, Jokate Mwegelo amesema ubia huo unalengo la kuiwezesha Kampuni ya Kidoti kuweza kupanua wigo wake kibiashara ikilenga pia kujiweka zaidi katika soko la Afrika Mashariki, Kati na Duniani. Amesema Kampuni hiyo ya China iliyowekeza nchini Tanzania...

Like
857
0
Friday, 19 December 2014
VIDEO: ALIKIBA MWANA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
Entertanment

...

1
2432
0
Friday, 19 December 2014
KUTANA NA MWANAUME ALIETUMIA $ 150,000 KUJIBADILI SURA AFANANE NA KIM KARDASHIAN
Entertanment

    Jordan James Parke mwenye umri wa miaka 23 huenda ndie shabiki mkubwa zaidi duniani wa mwanamitindo ambae ni drama queen Kim Kardashian mke wa rapa Kanye West   Jordan alipohojiwa kwenye gazeti la The Sun alidai kuwa amezama kimapenzi kwa msanii huyo baada ya kutazama kipindi cha Tv cha Kim kinachokwenda kwa jina la Keeping Up With The Kardashians alinukuliwa akisema ‘I love everything about Kim,’ ‘She’s the most gorgeous woman ever. Her skin is perfect, her hair,...

Like
488
0
Thursday, 18 December 2014
AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA
Entertanment

Mnenguaji mkongwe wa Bendi ya Twanga pepeta AISHA MBEGU MADINDA amefariki Ghafla leo jijini Dar es salaam. Akizungumza na Efm muda mfupi uliopita Mwimbaji wa bendi hiyo Luiza Mbutu amesema mwili wa Marehemu Aisha Madinda umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa Taarifa za awali shughuli za Msiba huo zitafanyika Kigamboni nyumbani kwao na Marehemu.   Tutaendelea kukupa taarifa kupitia vipindi vyetu hapa EFM. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya Marehemu mahali pema Amina.      ...

Like
618
0
Wednesday, 17 December 2014